Kumbe passport zake zinaonyesha ana miaka 25, Jamani ifike wakati sasa kamati ya Miss Tanzania ianze kuwachunguza washiriki wake wote kwani si kazi sana kupata information za mtu yoyote kwa dunia hii iliyokuwa kama kijiji,,Sasa naona aibu inazidi kusambaa mala Miss Tanzania ana mtoto ,maneno mengine ana miaka 25 Na bado tunaendelea kupata habari zaidi, IFIKE WAKATI KAMATI YA MISS TANZANIA IJISHUGHULISHE NA KUONDOA AIBU KAMA HIZI ZINAZOWEZA KUZUILIKA,LUNDENGA NA WENZIO TURUDISHIENI MISS TANZANIA YENYE HADHI AMA MCHUKUE HATUA YA KULIFUNDA SHINDANO HILI. |