Friday, April 4, 2014

Weekend Inspiration Quote

My Lovelies muwe na weekend njema  sitakuwa na mungu wa kuwawekea mavitu mazuri ,busy na family watoto na mapisho god bless you

                                                                        xoxoxo

Vivazi:Striped Crop Top and Matching Skirt Sets

Paris Hilton
Khloe K
Beyonce K
                                                   Nani katoka Bomba?kati ya hawa ma cerebrity wetu

Unyayoz Nani kapendeza ?????

Unyayoz nani kapendeza  Julissa Tiny, JLo ,Khloe Kardashian and Nene Leakes,?Jaji ni wewe msomaji wangu

Jennifer Lopez’s in Kohl’s Pink Solid Roll Tab Crepe Romper

Mamaaa JLo.

HAPPY FRIDAY MY PEOPLES

Weekend yenu iwe njema sana na mungu awalinde

Wednesday, April 2, 2014

Mambo ya Naija wedding

Pendeza wadada ,Picha ya Juu Inni Edo

Ladies na Fashion tuzipendazo

Ni kitambo kimepita nilikuwa busy na majuku ya kazi na family kwa ujumla ,Leo nimewaletea picha za mafashionista kutoka Blog mbalimbali,kama kawa endeleeni ku enjoy