Friday, July 11, 2014

Zuhair Murad Fall 2014 Couture



Baadhi ya vivazi nilivyofanikiwa kupick  nimependa kila nguo  ,Breathitaking!

Jlo na mwanae Emme wakutana na Firstlady Mama Michelle Obama New York

Mama na mwana wamependeza hasaa sare sare maua 

JLO mwanae Emme na Mdogo  wake Lynda ambaye ni mwandishi habari

Beautiful  ladies  ,Cute smile  

Hug Hug 

Kama vile  wanadiscuss jambo

Pendeza JLo


Thursday, July 10, 2014

Wednesday, July 9, 2014

Ni Kilio na kutokuamini ndani ya Brazil -German 7- Brazil -1

David Luis akilia kwa uchungu na kutokuamini kilichotokea 

Mchezaji wa Brazil akilia kwa uchungu

Hapa Mshabiki akiwa na uchungu kwanini Brazil imefungwa magoli kama Mvua 


Kwa Ujerumani ni Full shwangwe .

Friday, July 4, 2014

Jinsi ya kutengeneza juice ya karoti ..Yummy

Karoti-Menya na saga kwenye Brender kiasi cha kutosha
Machungwa(unaweza tumia limao au ndimu)- kamua kwa kutumia mashine ya kukamulia machungwa
Sukari kidogo au asali
Maji- kiasi cha kutosha ila isiwe nyepesi sana

Kisha changa pamoja huo mchanganyiko tayari kwa kunywa 

Cinderella Quote

muwe na weekend njema lovelies