“Trendy Curves"™ by JanetFashions Styles...Daily Style Journal Keeping you informed on all the current trends and fashions all over off cause celebrity style and gossip!
Friday, November 15, 2013
Ladies haya karibuni pande hii mjionee mafashionista wa Ukweli..Post maalum kwenu
Thursday, November 14, 2013
Ladies muandae tu mafundi wa kuwashonea African Prints haswaa zinashonwa na kuvaliwa :Yummy
Angalia picha hizi mbili Before and after make up na utoe maoni yako
Je unadhani kupaka make up nyingi zaidi ili kuficha kasoro zilizopo katika uso wako ni sawa ?Ukijaribu kuangalia hizo picha mbili hapo zote ni za mtu mmoja ya kwanza akiwa bado hajawekwa make up na hiyo ya pili kawekwa make up na kuonekana mrembo zaidi ,
Inavyoonekana ni make up nyingi imetumika hata kuondoa uhalisia wa mhusika ,ukikutana nae kabla na baada ya make up unaweza kudhani hawa ni watu wawili tofauti
Je unadhani kutumia make up nyingi namna hii ni sahihi? Tupia maoni yako..
Awwwky natural hair do style zinavutia kama kawaidaBila
Wednesday, November 13, 2013
Who kill it Kim Kardashian or Jennifer Hudson in Donna Karan's Gold Foldover Stretch Pencil Skirt
Dear JFS:Nampenda mme wangu lakini hataki kuyapokea mapenzi yangu nifanyeje?
Pole na kazi dadaangu
Mie ni mama wa watoto wawili wakike mmoja yuko 6 yrs na mmoja 1 yrs nimefunga ndoa na mme wangi miaka saba iliyopita,ninafanya kazi ,najipenda naipenda family yangu pia nampenda sana mme wangu na nimekuwa nikimuonyesha kwa vitendo kuwa nampenda
Tatizo lililonifanya nikuandikie ni hili ,baada ya miaka miwili ya ndoa yetu mme wangu amekuwa busy na mambo yake ,kurudi nyumbani usiku wa manane amelewa,na akiwa huko alipoenda mpaka usiku wa manane nikimpigia simu ananiambia anapajua nyumbani ..mwenzenu silali nakosa usingizi mpaka anaporudi nyumbani ndio naweza kupata usingizi japo kidogo ,na akiwa mbali nikimtumia meseji za kumwambia mme wangu nakupenda,mme wangu nakumiss ,nachojibu ni najua au asante ..Nashangaa mwenzenu maana nachotengemea ni nakupenda pia au nakumiss pia ,lakini yeye jibu ni "najua" ,Pia usipompigia saa nyingine usitegee yeye akupigie Linapokuja swala la matumizi ya ndani mpaka nimuombe hawezi sema huu mwisho wa mwezi nitoe hela kwa ajili ya matumizi ya family ,nakuomba omba sometimes inakuwa tabu ni mtu gani haya mtu anakuwa hajui mahitaji ya familia yake
Nimekuwa mpweke mpaka naona kama nadhulumiwa penzi langu ,natamani kusikia neno la nakumiss ,nakupenda pia .mme wangu ananifanya nianze kuwa mawazo mabaya
Nifanyeje wapenzi wangu naomba msaada wenu kimawazo
Muathirika
Pls usiweke email yangu
Ushauri wangu
Pole sana dada haya yote ni majatribu ya ndoa jaribu kuwashirikisha wasimamizi wa harusi yenu wamwite mkae na kutoa kero zinazokusumbua..inaweza kuwa msaada
***********************************************
Pia naimani wasomaji watakupa msaada zaidi kimawazo
Ukiwa na Maoni na ushauri Tuma kwenda Janetfands@gmail.com

Monday, November 11, 2013
Miss Venezula Gabriela Isler Wins 2013 Miss Universe Pegent-Congrats
pretty cool, she really deserves it Tanzania sie maybe next time tusikate tamaa |
Leo tunamwangalia muigizaji wa Mexico mwenye Makeke anapouvaa uhusika Diana Sabine Moussier
Diana Sabine Moussier mwanamama machachali anayetamba kwenye tamthilia za Mexico,Napenda sana kumuona na pia naupenda sana uigizaji wake |
Alizaliwa tarehe 23 August mwaka 1966 ni Mjerumani mwenye asili ya Mexico,na pia ni mama wa watoto wawili |
Amekuwa akisifika katika uigizaji wake wa kikakitili na usaliti ndani ya ndoa na kuuvaa uhusika hasaa, na unaweza kumchukia akiwa katika kazi yake ya uigizaji |
Friday, November 8, 2013
Wednesday, November 6, 2013
Ooops Mavazi mengine jamani Lol ,upepo ukipuliza tu inabidi uwe na khanga kwenye pochi
Natural Hairdo
Haya haya mshindwe wenyewe mie nitakuwa nawawekea tu kila siku jinsi natural hair zinavyopendeza ,awwww love love love
Sunday, November 3, 2013
Natural Hairdo Fresh!
Aina mbali mbali za magauni ya harusi wedding dresses awwwww.
Ladies Would you Rock this type of earrings ?
Subscribe to:
Posts (Atom)