Thursday, April 17, 2014

Nani ametokelezea ndani ya Kivazi cha Ralph Lauren’s Spring 2014


Lupita Nyong'o

Nong Poy

Haya msomaji wangu ni wewe unaweza kutazama na kuamua nani ametokelezea ndani ya hiki kivazi red in colour

Haya warembo wa Blog hii




Kama kawa nawaletea mafashionista wanaojua kutupia Jeans mbali mbali zikakaa na kupendeza mwilini,macho yako tu wewe msomaji...

Monday, April 14, 2014

Ladies Na vitupio








Kama kawa naendelea kuwawekea mavituzi na fashion mbalimbali za ukweli

Unyayozi Rebbeca Minkoff Spring 2014- Rita sandals


Wapenzi wa mambo ya Unyayo kuna ingizo jipya hilo limeingia  wenye madola mpo?

African Touch





Sorry wadau wangu sijaupdate blog yangu muda mrefu sasa ,hii yote ni kutokana na mambo mengi ya kifamilia ,ila kwa sasa tuko pamoja kuendeleza libeneke la habari picha kuhusu fashion na mengineyo yanayoendelea hapa ulimwengunu,pamoja sana wadai