Friday, June 6, 2014

Muwe na weekend njema wasoma wa Blog hii

Ni mungu pekee ndie mtoaji wa liziki ,usiumie sana pale unapoona kuna mambo unayafanya hayafanikiwi ,au kuna kitu umefanya mwisho wake sio mzuri ,Kumbuka mwisho wa mawazo yako ni mwanzo wa mawazo ya mungu,Stay safe and god bless you all

Juice ya Watermelon au Tikiti maji


JUISI YA TIKITI MAJI
Chukua tikiti maji (Watermelon), osha kisha likate vipande na chukua nyama yake ya ndani ambayo utaisaga na kupata juisi.
Faida yake
Juisi hii ina uwezo wa kusafisha figo pamoja na njia ya mkojo yaani Urethra. Inazuia unene (Obesity) kwa kuwa na kiwango kidogo cha calories.ni rahisi sana kutengeneza,Enjoy your weekend ...

Bey Bey....Beyonce style



Baada ya ile habari ya kwenye elevator  naona mwanadada yuko happy na smile kubwa

aaaah Wema Sepetu






Mutoto Muzuri wema Sepetu yelewuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,

Teyonah Parris for Bright Ideas Magazine

mie penda sana Nywele zako ...beautiful girl

absolutely stunning!!!!!! siachi kusifia sijui nyie wadau

Wonderful style from head to toe !!!...