Thursday, January 2, 2014

Fashion tuzipendazo ....kazi kwenu mafashionista wa Kitanzania







Ukijaribu kuangalia Rangi zilivyochanganywa mwenyewe utapenda ..karibuni kwa style fashonistazi and enjoy the look!Fab

Celeby Best dresses 2013 they look so Fab

Jennifer Lopez ndani Zuhair Murad at the 2013 Golden Globes.
Kelly Rowland in Georges Chakra at the 2013 Grammys
Beyoncé in Tom Ford
Rihanna in Alaïa at the 2013 Grammys
 cute cute tunaanza 2014 kiaina  enjoy

Wednesday, January 1, 2014

Kiafrika zaidi Anita Quansah London’s “Silhouette of Power” Collection Lookbook




Very creative and original pieces pendeza sana sana interesting

Asante mwenyezi mungu kutuwezesha kufika 2014

NI FURAHA KUBWA MWENYEZI MUNGU KUTUWEZESHA KUFIKA MWAKA 2014 ,BARAKA TELE ZIWE JUU YETU

YALE YALIYOSHINDAKANA 2013 NA YAKAPATE KIBALI CHA KUFANYIKA MWAKA 2014 ,TUTAKUWA PAMOJA MARAFIKI TUKIENDELEA KUPEANA MAWAZO NA HABARI MPYA MPYA