Sunday, September 22, 2013

Happyness Watimanywa ajinyakulia ushindi Redd's Miss Tanzania 2013


Happyness Watimanywa  akipunga mkono  baada ya kutangazwa Redd's Miss Tanzania 2013 kushoto ni mshindi  Namba 2 Latifa Mohamed na kulia mshindi namba 3 Clara Bayo
Tano Bora
Kumi Bora
Baadhi ya warembo katika vazi la ubunifu

vazi la ubunifu
vazi la ubunifu
vazi la ubunifu
Mwanzo wakati warembo wakifungua kwa dance maridadi,
Redd's Miss Tanzania anatokea Mkoa wa Dodoma .Congrats
                 Ukumbi ulipendeza  sana Congrats to waliohusika na uandaaji wa ukumbi kwa ujumla

2 comments: