Tuesday, September 24, 2013

Westgate Shopping Mall attacks:Poleni sana Wakenya Tunaungana nanyi katika kipindi hiki kigumu

Viongozi wa Kenya wameweza kuwahakikishia Wakenya na Ulimwengu wote kuwa Stuation iko under control,kwa pamoja tunaendelea kuwaombea ,
Ulinzi umeimalika

Brave solder  

Shambulio hili inaaminika limefanywa na Al Shaabab habari za kuthibitika kutoka kwa Al Shaabab kwamba wamehusika na tukio la Kenya. Al Shaabab wamepeleka habari za kuhusika kwao kwenye kituo cha habari cha Al Jazeera. 

 


Majeruhi wakiwahishwa Hospital
watu wakikimbia kujiokoa
majeruhi wakipelekwa panapohusika
Add caption

Poleni sana ndugu zetu wa Kenya tuko pamoja katika hili na tunaomba mungu azidi kuujenga umoja

No comments:

Post a Comment