Sunday, December 8, 2013

Pumzika kwa Amana Baba yetu Nelson Mandela


Nelson Mandela dies at 95

Alizaliwa  July 18, 1918, Mvezo, South Africa

Amefariki 
December 5, 2013

Ni huzuni kubwa kuondokewa na shujaa wa dunia ,kiongozi aliyekuwa na moyo wa pekee ,aliyejitoa kwa wananchi wake hata kukaa gerezani miaka 27 ili tu nchi yake na watu wake pia Africa nzika iweze kupata uhuru wake ,tumempoteza kiongozi mahiri shupavu ambaye amekuwa gumzo miongoni mwa watu wote wapenda amani,kama tunavyojua kila nafisi itaonja mauti tunakuombea upumzike kwa amani Baba yetu,Ni pengo kubwa haliwezi kuzuzibika
                                            Rest in Peace Nelson Mandela  our  Hero

3 comments:

  1. ...... Rip a great man. u will be missed

    ReplyDelete


  2. A legend. ..rest in peace papa

    ReplyDelete
  3. He was a great man...May his soul rest in peace

    ReplyDelete