Sunday, December 15, 2013

Pumzika kwa amani baba yetu Nelson Mandela

Hatimaye aliyekuwa Rais wa kwanza na mpigania haki za binadamu bila kujali rangi au kabila Mzee Nelson Mandela amezikwa leo kijijini kwao Qunu mahali akipozaliwa.Leo ndio ilikuwa ni siku ya huzuni na majonzi kwa wananchi wote wa SA ama kwa hakika ni msiba mzito kwa wapenda amani wote na dunia  kwa ujumla.tunaunga na nchi ya Africa kusini kuomboleza msiba huu mzito sana tunakuombea upumzike kwa amani baba yetu Mandela baada ya kazi ngumu ya kuikombokea Afrika.mungu ibariki afrika.REST IN PEACE TATA MADIBA

4 comments: