Tuesday, November 27, 2012

R.I.P Sharo millionea

Kamanda wa Polisi mkoani Tanga, Constatine Masawe amekiri kutokea kwa msiba wa Sharobaro, baada ya kupata ajali katika kijiji cha Lusanga, Muheza ambapo pia ndio nyumbani kwao. Sasa naweza kusema R.I.P Sharomilonea.
Hapa akiwa na mzee majuto ambaye wameshirikiana katika michezo mingi na matangazo ya biashara
akiwa katika pozi
Mungu aiweke roho yako mahali pepa peponi
amen

No comments:

Post a Comment