Monday, July 28, 2014

"Gratitude is the fairest blossom which springs from the soul.

“God hides some ideal in every human soul. At some time in our life we feel a trembling, fearful longing to do some good thing. Life finds its noblest spring of excellence in this hidden impulse to do our best.”

Muwe na sikukuu njema ya Eid wapendwa 

African Touch pamoja sana wadau












Thursday, July 24, 2014

Wale wapenzi wa High Hills



Hivi unakuwa confortable kutembea na Kiatu kirefu namna hii, na pia naona kama kikivaliwa mguu lazima unapinda kitu ambacho ni hatari kwa Miguu yetu <wale wapenzi wa High Hills je unakuwa confortabe kutembea na kiatu kirefu namna hii??

Beyonce na JayZ

Naona kuchungulia muhimu Lol haha ,Ni kama vile anawaza  Baba Blue Ivy anachat na nani hapa ?

Tuesday, July 22, 2014

waremboz nafashion tuzipendazo



Haya mashostito wa ukweeeeeeeel kwa raha zenu ,hawa ni mabloggers wanakwenda na fashion kila kukicha ,enjoy .