Thursday, July 3, 2014

Mwanadada Alysia Montano, 28 awaacha watu midomo wazi mbio za mita 800

Scary Akiwa na ujauzito wa week 34 kasoro weeke 6 tu ajifungua alijimwaga uwanjani katika mashindano ya mbio za mita 800,ooops

Siachi kuzitazama hizi picha , imagine 34 weeks ushaanza dalili za uchovu unaingia kwenye mashindano kama haya ,Madaktari wake walikubaliana na uamuzi wake lakini  sijui angeanguka ingekuwaje ,safety first

Oooops Congrats na ujasiri wa ajabu

No comments:

Post a Comment