Thursday, July 24, 2014

Wale wapenzi wa High Hills



Hivi unakuwa confortable kutembea na Kiatu kirefu namna hii, na pia naona kama kikivaliwa mguu lazima unapinda kitu ambacho ni hatari kwa Miguu yetu <wale wapenzi wa High Hills je unakuwa confortabe kutembea na kiatu kirefu namna hii??







3 comments:

  1. Mbona vya kawaida tu hivyo mumy, vipo virefu zaidi ya hivyo

    ReplyDelete
  2. Niliona kama mguu unapinda sana kwa chini ,na kuhisi kama mvaaji mguu unapinda
    safety first

    ReplyDelete
  3. Mie nina kimoja huwa nakibeba navaa nikifika kwenye mtoko navaa ,nikitaka kucheza mziki navua kama kawa 2 pair at once

    ReplyDelete