Friday, October 17, 2014

Miss Tanzania yazidi kuingiwa na aHuyu ibu sakata la miss Tanzania mengi yanazidi kuibuka

Sitti a alitamka ana miaka 18 ya kuzaliwa 


Kumbe passport zake zinaonyesha ana miaka 25,
Jamani ifike wakati sasa kamati ya Miss Tanzania ianze kuwachunguza washiriki wake wote kwani si kazi sana  kupata information za mtu yoyote kwa dunia hii iliyokuwa kama kijiji,,Sasa naona aibu inazidi kusambaa mala Miss Tanzania ana mtoto ,maneno mengine ana miaka 25 Na bado tunaendelea kupata habari zaidi,
IFIKE WAKATI KAMATI YA MISS TANZANIA IJISHUGHULISHE NA KUONDOA AIBU KAMA HIZI ZINAZOWEZA KUZUILIKA,LUNDENGA NA WENZIO TURUDISHIENI  MISS TANZANIA YENYE HADHI AMA MCHUKUE HATUA YA KULIFUNDA SHINDANO HILI.

2 comments:

  1. Kibibi Sitti aibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  2. Kiruuu Shost umechemka

    ReplyDelete