Monday, October 13, 2014

Sitti Mtemvu ndie kajinyakulia taji la Redds Miss Tanzania 2014




Huyu ndie misss Tanzania wetu wa mwaka 2014 ambaye imeonekana gumzo na maneno mengi kwenye Vinywa vya watu ..wengine wakidai kwamba hastahiri na wengine wakisema anafaa ,Mengi yataongewa  lakini tayari Sitti anashikilia Taji hili  tunakuombea utuwakilishe vyema katika kunyanyua Bendera ya Tanzania

No comments:

Post a Comment