Tuesday, December 31, 2013

Mwenyezi mungu atujaalie salama tuione 2014 kwa amani na upendo

Special Thanx to my lovey family  love them very muchNawaombea 2014 iwe ya baraka tele na mafanikio 

Wapendwa Marafiki na wasomaji wote wa Blog hii tuzidi kuombeana heri na baraka za mwenyezi mungu
Nawatakia sikukuu njema za mwaka mpya kwani nitakuwa busy na familia yangu sijui kama  nitapata chance ya kublogua

Jordin Sparks apata suprise ya BMW katika Xmas kutoka kwa sweetheart Jason Derulo

haya mambo ya malavi davi watu wanapeana suprise za expensive car msimu wa sikukuu all the best Jordin


Na hii ndio Tweet ya Jordin enjoy

Monday, December 30, 2013

Haya Colour of the year 2014 ..pata muonekanoKa

Kama kawaida Pantone wameshatoa rangi ya mwaka 2014 kwa raha zetu kwetu hatugombezwi
tushindwe wenyewe

Style tuzipendazo huo mguu vip wadau..

Sina la kuongeza hapo mdau wewe kwa jicho lako ndio utajaji ,,Mrembo kapendeza ,nimependa Gown na alivyopangilia mpaka kiatu chake plus accessories ,cute

Tuesday, December 24, 2013

Merry Christmas and a Joyous New Year 2014


Mwenyezi mungu muumba wa mbingu na nchi atujaalie sisi na familia zetu kushehekea sikukuu hii nyema ya Chrismas na pia  atujaalie kufikia mwaka mpya 2014

Christmas brings us closer It's a special time of year
A family time and one to share With those we hold most dear
Christmas brings us closer  And like this wish it brings
Some very precious memories
And life's most happy things
One of the real joys of the Holiday Season is the opportunity to say
"Thank You" and to wish you the very best for the New Year!
   
Balaka za mwenyezi mungu ziwe pamoja nanyi ndugu jamaa na marafiki pia wasomaji wote wa Blog hii mwenyewezi mungu atulinde na kutupa baraka zake tele

Ama kwa hakika Vazi hili la Kelly Rowland Linavutia sana

Kelly  Ndani ya vazi la kuvutia lililomkaa vyema
Kelly Rowland anayetarajiwa kufunga ndoa mapema na Fiancee wake ambaye pia ni meneja wake  Tim Witherspoon ,Ndoa ambayo inatarajiwa kuwa si ya watu wengi kama alivyonukuliwa Kelly Mwenyewe akiongea “I think we just really want it to be us and our pastor. That’s it,” she says. “I mean, we are the only two that’s going to be in the marriage.”

Sunday, December 15, 2013

Pumzika kwa amani baba yetu Nelson Mandela

Hatimaye aliyekuwa Rais wa kwanza na mpigania haki za binadamu bila kujali rangi au kabila Mzee Nelson Mandela amezikwa leo kijijini kwao Qunu mahali akipozaliwa.Leo ndio ilikuwa ni siku ya huzuni na majonzi kwa wananchi wote wa SA ama kwa hakika ni msiba mzito kwa wapenda amani wote na dunia  kwa ujumla.tunaunga na nchi ya Africa kusini kuomboleza msiba huu mzito sana tunakuombea upumzike kwa amani baba yetu Mandela baada ya kazi ngumu ya kuikombokea Afrika.mungu ibariki afrika.REST IN PEACE TATA MADIBA

Wednesday, December 11, 2013

Wedding hairsdo

simple and beautiful

Picha ya Leo

Watu wakiwa katika maombolezo ya Nelson Mandela Mheshimiwa Obama anajipiga picha akiwa na Waziri wa Uingereza na Danish Prime Minister Helle Thorning-Schmid ...Mahoka

Picha:Nelson Mandela's body moves for public view after funeral in Johannesburg today



NELSON Mandela's flag-draped casket made a solemn journey through the streets of Pretoria, arriving at the seat of South Africa's government where he will lie in state for three days. A black hearse phalanxed by 16 motorcycle outriders rolled out of the city's 1 Military Hospital onto streets lined with flag-waving South Africans who formed a public guard of honour.