Wednesday, May 28, 2014

Part 1:Leo tunaangalia Vivazi vya Kila siku vya Mama Michelle Obama na family kwa ujumla





happy Family

Haya Haya Mr & Mrs Kanye West

Kissing time ..you may kiss your Bride ... now


officialy this is my wife ..Ni kama vile Kanye west anawaambia wadau

Kwa nyuma Kivazi Kinapendeza sana ..Mgongo wazi  Kim Kardashian

Kwa raha zetu kwetu hatugombwi hata kama Jay Z na Beyonce hawakuja sisi tunaendeleza mapenzi yetu

Mimi ndie Husband wake na Kim na hamtaki mnaacha  haha ...g

Monday, May 26, 2014

Hongera Kwake Kim Kardashian na Kanye West ,Mungu bariki muungano wenu

Kim kapendeza ndani ya Givenchy Dress ..ingawa Picha kwa sasa  hazijaanza kusambaa ambazo zimeonekana vizuri,Tutaendelea kuwaletea habari picha kwa jinsi zitakavyokuwa zikipatikana


Gown ya Kim K ikiwa imevaliwa na Model

Pia rafiki wa karibu sana wa Kanye  Jay Z hakuweza kutokea katika siku kubwa na muhimu ya rafiki yake ..Tutapata habari kamili ni kwa nini  Swahiba huyo hakutokea kwenye sherehe ya rafiki yake wa muda mrefu ...
More news and Pictures to come....

Pole sana Vicky Kamata


Mbunge Vicky Kamata augua ghafla muda mfupi kabla ya ndoa yake,ingawa habari zilizopatikana  kwa watu mbali mbali wa karibu  ni kwamba bwana harusi tayari alikuwa ana mke halali ingawa kulikuwa na matatizo ndani ya ndoa yao.ni mengi yanaongelewa mpaka hivi sasa ,lakini kama ni kweli ,ifike wakati tuanze kuchunguzana na kujua back ground  zetu kabla ya kufanya maamuzi makubwa kama haya..Pole sana Vicky na mungu akusaidie  sana katika kipindi hiki kigumu..

Thursday, May 22, 2014

Kardashian's wamwagika Paris tayari kwa harusi ya Kim na Kanye itakayofanyika Jumamos hii

Bi harusi na Bwana Harusi Mtarajiwa



Sisters KK


Mama na Mwana

Kardashians Sister

Madada nao hawako nyuma kwa special day ya ndugu yao





Kama kawaida mama kumpa support mwanae Kim

Kama kawaida kila wanakopita mapaparazi nao wako busy kufatilia kila hatua
Wishing them all the best

Friday, May 9, 2014

Oprah Winfrey Miaka ya 1998 ndani ya Gazeti la Vogue

ooooh my God  nimebakia nakodoa macho kwenye Picha jinsi alivyokuwa mcutie,Nywele zake zimenivutia  sana



Ni  miaka kumi  na sita sasa imepita tangu hizi picha zichukuliwe ,Stunning pendeza kweli ,,,

Thursday, May 8, 2014

Brandy N in Red and Black Printed Peplum Top and Armadillo Sandals



Ooops Macho yote kwako ni kama vile Brand anatwambia mashabi wake ... Adorable!

Michelle Obama atoa Sapoti katika kampeni ya kuwatafuta zaidi ya Wanafunzi wa Kike 200 waliotekwa na Boko Haram

I pray those girls strength and courage to escape if the opportunity presents itself, Amen.Mungu aendelee kuwalinda popote walipo maana hili ni jambo la kutisha na kusikitisha sana

Friday, May 2, 2014

Nani ametokelezea kati ya Jennifer Lopez na Porsha Williams

naona wote wamependeza sana ..Lakini kwa uchaguzi wangu ..JLo look Stunning
Yes to JLO
Sijui wewe Msomaji wa Blog maoni yako yanaenda kwa nani