Friday, November 15, 2013

Qote of the Day


I’ve learned that people will forget what you said, people will forget what you did, but people will never forget how you made them feel. –Maya Angelou

 

 Go confidently in the direction of your dreams.  Live the life you have imagined. –Henry David Thoreau

 

 When one door of happiness closes, another opens, but often we look so long at the closed door that we do not see the one that has been opened for us. –Helen Keller

                                                                       Happy Friday

Ladies haya karibuni pande hii mjionee mafashionista wa Ukweli..Post maalum kwenu

Ladies mtakubaliana na mie hawa ni mafashionista wa ukweli  wamependeza kila mmoja kwa namna ya kipekee ,Hapa maliza shughuli zako zote ndo upite katika page hii unaweza kuunguza jikoni kwa jinsi warembo walivyopendeza ,endelea kuangalia picha zaidi katika Link hiyo hapo ..ns imani weekend yako itakuwa burudani kabisa ,,

Thursday, November 14, 2013

Ladies muandae tu mafundi wa kuwashonea African Prints haswaa zinashonwa na kuvaliwa :Yummy

Ni sawa kabisa wenye maumbo yenu
Angalia na huku wenyewe tunapendeza
Kibongobongo tu tunapendeza
Mshindwe wenyewe kutafuta mafundi wa kuwashonea 
                                                                              xoxo

Angalia picha hizi mbili Before and after make up na utoe maoni yako


                    Je unadhani kupaka make up nyingi zaidi ili kuficha kasoro zilizopo katika uso wako ni sawa ?Ukijaribu kuangalia hizo picha mbili hapo zote ni za mtu mmoja ya kwanza akiwa bado hajawekwa make up na hiyo ya pili kawekwa make up na kuonekana mrembo zaidi ,

                       Inavyoonekana ni make up nyingi  imetumika hata kuondoa uhalisia wa mhusika ,ukikutana nae kabla na baada ya make up unaweza kudhani hawa ni watu wawili tofauti

                                     Je unadhani kutumia make up nyingi namna  hii ni sahihi? Tupia maoni yako..

Awwwky natural hair do style zinavutia kama kawaidaBila


Bila shaka mtakubaliana na mie nywele zetu za asili zina mvuto wa namna  yake ya kipekee 

,kwa picha zaidi bonyeza
hapo upate muonekano zaidi

Wednesday, November 13, 2013

Who kill it Kim Kardashian or Jennifer Hudson in Donna Karan's Gold Foldover Stretch Pencil Skirt

KIM K
Jennifer Hudson


Nani ametokelezea kati ya hawa macelebrity wetu wawili katika vazi la  Donna Karan's Gold Foldover Stretch Pencil Skirt
I will go for Kim K mama North West ,
Sijui wewe mdau

Dear JFS:Nampenda mme wangu lakini hataki kuyapokea mapenzi yangu nifanyeje?

Pole na kazi dadaangu

Mie ni mama wa watoto wawili  wakike mmoja yuko 6 yrs na mmoja 1 yrs nimefunga ndoa na mme wangi miaka saba iliyopita,ninafanya kazi ,najipenda naipenda family yangu pia nampenda sana mme wangu na nimekuwa nikimuonyesha kwa vitendo kuwa nampenda
Tatizo lililonifanya nikuandikie ni hili ,baada ya miaka miwili ya ndoa yetu mme wangu amekuwa busy na mambo yake ,kurudi nyumbani usiku wa manane  amelewa,na akiwa huko alipoenda mpaka usiku wa manane  nikimpigia simu ananiambia anapajua nyumbani ..mwenzenu silali nakosa usingizi mpaka anaporudi nyumbani ndio naweza kupata usingizi japo kidogo  ,na  akiwa mbali nikimtumia meseji za kumwambia mme wangu nakupenda,mme wangu nakumiss ,nachojibu ni najua au asante ..Nashangaa mwenzenu maana nachotengemea ni nakupenda pia au nakumiss pia ,lakini yeye jibu ni "najua" ,Pia usipompigia saa nyingine usitegee yeye akupigie Linapokuja swala la matumizi ya ndani mpaka nimuombe hawezi sema huu mwisho wa mwezi nitoe hela kwa ajili ya matumizi ya family ,nakuomba omba sometimes inakuwa tabu ni mtu gani haya mtu  anakuwa hajui mahitaji ya familia yake
Nimekuwa mpweke mpaka naona kama nadhulumiwa penzi langu ,natamani  kusikia neno la nakumiss ,nakupenda pia .mme wangu ananifanya nianze kuwa mawazo mabaya
Nifanyeje wapenzi wangu naomba msaada wenu kimawazo
 Muathirika
Pls usiweke email yangu

Ushauri  wangu

Pole sana dada haya yote ni majatribu ya ndoa jaribu kuwashirikisha wasimamizi wa harusi yenu wamwite mkae na kutoa kero zinazokusumbua..inaweza kuwa msaada
***********************************************
Pia naimani wasomaji watakupa msaada zaidi kimawazo

Ukiwa na Maoni na ushauri Tuma kwenda Janetfands@gmail.com

Monday, November 11, 2013

Fresh

Cute cute
Maoni na ushauri please contact Janetfands@gmail.com

Miss Venezula Gabriela Isler Wins 2013 Miss Universe Pegent-Congrats

25 year old Miss Venezuela, Gabriela Isler, beat 85 other contestants to emerge the winner of the 2013 Miss Universe pageant which held yesterday Saturday November 9th at the Crocus City Hall in Krasnogorsk, Moscow Oblast, Russia
pretty cool, she really deserves it Tanzania sie maybe next time tusikate tamaa
-

Look of the Day Kelly Rowland

Dress to Kill Awww kapendeza Bidada

Hair Do Willow and Mother Jada Pinket

angalau ya mwana
hii ya mama na umri huu sijui wew msomaji

Leo tunamwangalia muigizaji wa Mexico mwenye Makeke anapouvaa uhusika Diana Sabine Moussier

Diana Sabine Moussier mwanamama machachali anayetamba kwenye tamthilia za Mexico,Napenda sana kumuona na pia naupenda sana uigizaji wake
Alizaliwa tarehe 23 August mwaka 1966 ni Mjerumani mwenye asili ya Mexico,na pia ni mama wa watoto wawili
Amekuwa akisifika katika uigizaji wake wa kikakitili na usaliti ndani ya ndoa na kuuvaa uhusika hasaa, na unaweza kumchukia akiwa katika kazi yake ya uigizaji
Ameigiza tamthilia nyingi sana na zilizompatia umaarufu hata kuweza kujipatia tuzo nchini mwake ,baadhi ya tamthilia alizoigiza ni Mi Pecado inayoonyeshwa kwa sasa katika kituo cha Capital Television,akiwa anatumia jina la Justina Almada ,picha imeigizwa 2009,2012 ameigiza picha Abisimo De Pasion inayoonyeshwa Citizen Channel ya Kenya akitumia jina la Carmina Bourvier ,2013 amecheza picha mpya Amores Verdaderos  akitumia jina la Bruna Cristo,Binafsi namkubali sana anapouvaa uhusika ,ni mkatili sana anapokuwa katika sehemu yake ..kwa wale wanaofuatilia tamthilia za kimexico..

Wednesday, November 6, 2013

Ooops Mavazi mengine jamani Lol ,upepo ukipuliza tu inabidi uwe na khanga kwenye pochi




Claudia Roman  akiwa anahangaika kuzuia nguo isipelekwe na upepo wakati huo upepo bila hiana ukifanya kazi yake haya mavazi mengine kazi kweli kweli

Natural Hairdo


Haya haya mshindwe wenyewe mie nitakuwa nawawekea tu kila siku jinsi natural hair zinavyopendeza ,awwww love love love

Look Of the Day Kelly Rowland

Hiyo Ngozi na Kivazi Mashalah ..look so beautiful

Sunday, November 3, 2013

Natural Hairdo Fresh!


kama zilivyonibamba naimani zimekubamba pia ,Natural hair inapendeza hasa ukiipatia kwa matunzo na style za ufungaji,warembo wamependeza na kuvutia

Aina mbali mbali za magauni ya harusi wedding dresses awwwww.


Nimependa hii dress mpaka natamani kurudia harusi yangu..cute cute
mabibiharusi kazi kwenu
Pendeza kina dada

Ladies Would you Rock this type of earrings ?


fashion kila siku inaenda ikipanuka ,kila aina ya style na urembo kubuniwa ,Je unaweza kuvaa aina hii ya Heleni?