Thursday, November 14, 2013

Angalia picha hizi mbili Before and after make up na utoe maoni yako


                    Je unadhani kupaka make up nyingi zaidi ili kuficha kasoro zilizopo katika uso wako ni sawa ?Ukijaribu kuangalia hizo picha mbili hapo zote ni za mtu mmoja ya kwanza akiwa bado hajawekwa make up na hiyo ya pili kawekwa make up na kuonekana mrembo zaidi ,

                       Inavyoonekana ni make up nyingi  imetumika hata kuondoa uhalisia wa mhusika ,ukikutana nae kabla na baada ya make up unaweza kudhani hawa ni watu wawili tofauti

                                     Je unadhani kutumia make up nyingi namna  hii ni sahihi? Tupia maoni yako..

3 comments: