Wednesday, April 30, 2014

Awwww African Print



Ladies hope mtakubaliana nami designer wa hizi dress alitulia na kutoa vitu vya kueleweka ,nguo zote ziko on point ,enjoy the look.

Romona Keveza Spring 2015 Collection ..kazi kwenu maharusi .



wale maharusi wapya aina mbali mbali za magauni ingizo la 2015 simple but beautiful  Love some of the dresses

Rihanna in low-cut dress








ama kwa hakika huyu dada ni Mrembo ...nimependa muonekano wote kwa ujumla ,furahia picha ....like like

Wednesday, April 23, 2014

Viatu anavyopenda kutupia Kate Middleton katika mitoko yake

















Hivi ni Baadhi ya Viatu ambavyo Malikia Kate M amekuwa akivitupia mara kwa mara katika mitoko yake wamo kina Jimmy Choo,
Penelope Chilvers nk nk

Thursday, April 17, 2014

Fashion na mafashionista tuwapendao










Kama mjuavyo wadau tutakuwa na weeekend ndefu kwa ajiri ya sikukuu za pasaka ,Ninaomba radhi kwani sitakuwa na muda wa kublogua ..nitakuwa busy na mambo ya kifamily ,ila kama nitakuwa napata chance kidogo nitapita hapa,love you all....
xoxo