Wednesday, October 29, 2014

Amazing Jennifer Lopez at 45 age




Ooooops hapa ana miaka 45 lakini anakimbizana mchaka mchaka na kina dada wa miaka 18 , nitakuja na post ya  nini siri ya urembo ....Yummy

Karibuni tena warembo na mambo African prints





Hapa ni vitenge tu na mafundi wa uhakika mwenyewe unatokelezea ,kila unakopita jicho kwako 

Friday, October 17, 2014

Picha ya leo Amber Rose na Sebastian Taylor Thomaz


So pretty and her son is precious

Miss Tanzania yazidi kuingiwa na aHuyu ibu sakata la miss Tanzania mengi yanazidi kuibuka

Sitti a alitamka ana miaka 18 ya kuzaliwa 


Kumbe passport zake zinaonyesha ana miaka 25,
Jamani ifike wakati sasa kamati ya Miss Tanzania ianze kuwachunguza washiriki wake wote kwani si kazi sana  kupata information za mtu yoyote kwa dunia hii iliyokuwa kama kijiji,,Sasa naona aibu inazidi kusambaa mala Miss Tanzania ana mtoto ,maneno mengine ana miaka 25 Na bado tunaendelea kupata habari zaidi,
IFIKE WAKATI KAMATI YA MISS TANZANIA IJISHUGHULISHE NA KUONDOA AIBU KAMA HIZI ZINAZOWEZA KUZUILIKA,LUNDENGA NA WENZIO TURUDISHIENI  MISS TANZANIA YENYE HADHI AMA MCHUKUE HATUA YA KULIFUNDA SHINDANO HILI.