Friday, September 26, 2014

Today Inspiration quote

Have blessed weekend lovelies 

Huu Mwaka naona ni wa ma-celebrity kuachana sasa ni Jason Derulo na Jordin Sparks

Baada ya miaka mitatu ya mahusiano kati ya wapenzi hawa  sasa naona mwisho wake umefika baada ya Jason kuconfirm kuwa mahuiano yao yamefika kikomo,Ama kwa hakika walikuwa wanaendeza sana, haya Amber na Wiz nao ndo vile ,JLo ,M-carey nk  nk

Thursday, September 4, 2014

oooh this girl nah shez hot and beatiful..Rihanna


Baada ya kazi ngumu na yenye mafanikio Rihanna aamua kuchukua break kwa mapumziko na hapa akiwa Mediterranean ndani ya  Galaxy boat hapa ni nchini Ufaransa,huyu mdada ni mrembo loooh  ,Furahia habari Picha

Monday, September 1, 2014

Ladies na Fashion tuzipendazo...











Furahia habari  Pichaz

Look of The Day -they Mama na Mwana Kim Kardashian na North West looking good


Adorable 

Gabrielle Union na Dwyane Wade wafunga pingu za maisha

Ni Jumamos ya tarehe 30.08.2014 wapenzi hao waliokuwa na ups and down kila kukicha walipoamua kumaliza mzizi wa Fitina na kufunga  pingu za maisha huku kila mmoja akionekana ni mwingi wa Furaha katika siku yao hiyo Muhimu, ama kwa hakika wamependeza sana

Gabrielle Union 41 - alipendeza sana ndani ya  Dennis Basso ballgown hiki akiamua kupunguza accessories nyingina kumfanya kuonekana simple buy beautiful 

Location, location! hapa ndio sehemu walipofunga ndoa wawili hao na kuanzisha  history ya maisha yao ya ndoa kama mke na mme 

Baada ya harusi mambo yalikuwa hapa  Fontainebleau Miami Beach hotel
                                                        Congrats to Mr and MR  D.Wade