![]() |
| Gabrielle Union 41 - alipendeza sana ndani ya Dennis Basso ballgown hiki akiamua kupunguza accessories nyingina kumfanya kuonekana simple buy beautiful |
![]() |
| Location, location! hapa ndio sehemu walipofunga ndoa wawili hao na kuanzisha history ya maisha yao ya ndoa kama mke na mme |
![]() |
| Baada ya harusi mambo yalikuwa hapa Fontainebleau Miami Beach hotel |




No comments:
Post a Comment