Friday, October 25, 2013

Naya Rivera :Kwa wale wataalam wa Make Up imepakwa na kukaa mahali pake

kwa wajuzi wa make up angalia uso huo ulivyopakwa make up kitaalam na kumwacha mpakwaji akivutia pasipo kuzidishiwa urembo ,pia kumwacha akionekana na sura yake ya asili ,sio zile make up zetu unapakwa unaki hujulikani kama ni wewe



Naya Rivera takes the plunge in revealing  catsuit as she attends Elle awards ceremony in Beverly Hills, Kivazi pia kimenivutia ,Naya kapendeza kuanzia kichwani mpaka mguuni kazi kwenu mafashionista

3 comments:

  1. Her face is perfection. Beautiful lady

    ReplyDelete
  2. her hair is beautiful, her face is beautiful. She's marvelous

    ReplyDelete