Friday, October 11, 2013

Out and About Kim Kardashia

Akiwa na tabasamu la haja akielekea kunapo appointment ya chakula cha usiku na  dada yake Khloe pia best friend wakeJonathan Cheban
Hiki Kiatu naona mfululizo wa mitoko zaidi ya minne Kim amekitupia sijui ndo designer wa kiatu katoa mkataba wa kiatu kivaliwe kila siku?

No comments:

Post a Comment