Friday, October 25, 2013

Kim Kardashian aonyesha pete yake ya Uchumba aliyovishwa na mzazi mwenzie Kanye West

Pete ya Mwanadada  Kim inasemekana  imecost $1.5  mpaka  $6 million ooops one of Expensive Engagement ring, hapa anaonekana akiwa na tabasamu la haja
Hapa mwanadada Kim akiwa katika mtoko na Mpenziwe Kanye huku akiwa amevalia White Crop Top na  Gathered Asymmetric Pencil Skirt  rasmi kwa mtoko
                                                                Enjoy the post

2 comments: