Monday, October 14, 2013

Leo tunaadhimisha miaka 14 ya kifo cha Mwalimu,Tutakukumbuka Daima Mwalimu Julius .K.Nyerere,

“Siku inakuja ambapo watu watachagua kifo kuliko fedheha na ole wao wale watakoiona siku hiyo! Na ole wao wale watakaoifanya siku hiyo isiepukike. Natumaini na kusali kuwa siku hiyo kamwe haitofika” –MwalimuNyerere (Januari, 1966)
***********************
'Hakuna umaskini mbaya kama umaskini wa mawazo, ni umaskini mbaya sana' 01/5/1995
***********************

"Poverty is not the real problem of the modern world. For we have the knowledge and resources which could enable us to overcome poverty. The real problem--the thing which causes misery, wars, and hatred among men--is the division of mankind into rich and poor."
***********************

Hivyo basi Watanzania watakuwa ni wajinga na mataahira, kama watakubali kuendelea kukandamizwa na watu wachache (viongozi) katika nchi yao wenyewe....
***********************
 

Mwalimu Julius Nyerere alizaliwa April 13, 1922, Butiama,

Alifariki dunia  October 14, 1999, London, United Kingdom

Tutakumbuka hekima na busara zako Mwalimu .RIP

3 comments:

  1. tutakukumbuka daima mwalimu,waliobaki wanatudidimiza kila kukicha

    ReplyDelete
  2. RIP mwalimu Nyerere

    ReplyDelete