Monday, May 26, 2014

Hongera Kwake Kim Kardashian na Kanye West ,Mungu bariki muungano wenu

Kim kapendeza ndani ya Givenchy Dress ..ingawa Picha kwa sasa  hazijaanza kusambaa ambazo zimeonekana vizuri,Tutaendelea kuwaletea habari picha kwa jinsi zitakavyokuwa zikipatikana


Gown ya Kim K ikiwa imevaliwa na Model

Pia rafiki wa karibu sana wa Kanye  Jay Z hakuweza kutokea katika siku kubwa na muhimu ya rafiki yake ..Tutapata habari kamili ni kwa nini  Swahiba huyo hakutokea kwenye sherehe ya rafiki yake wa muda mrefu ...
More news and Pictures to come....

No comments:

Post a Comment