Wednesday, April 30, 2014

Awwww African Print



Ladies hope mtakubaliana nami designer wa hizi dress alitulia na kutoa vitu vya kueleweka ,nguo zote ziko on point ,enjoy the look.

Romona Keveza Spring 2015 Collection ..kazi kwenu maharusi .



wale maharusi wapya aina mbali mbali za magauni ingizo la 2015 simple but beautiful  Love some of the dresses

Rihanna in low-cut dress








ama kwa hakika huyu dada ni Mrembo ...nimependa muonekano wote kwa ujumla ,furahia picha ....like like