Tuesday, June 4, 2013

SALSHIA ISDORE ANYAKUA REDD'S MISS GEITA 2013

Mshindi wa taji la Redd’s Miss Geita 2013, Salshia Isidore (katikati) akiwa pamoja na warembo wenzake Stella Magerezi (kulia) aliyeshika nafasi ya pili na Mshindi wa tatu , Nurieth Rashid. Salshia aliwashinda warembo  12 waliokuwa wakiwania taji hilo pamoja nae.   

No comments:

Post a Comment