Friday, June 6, 2014

Juice ya Watermelon au Tikiti maji


JUISI YA TIKITI MAJI
Chukua tikiti maji (Watermelon), osha kisha likate vipande na chukua nyama yake ya ndani ambayo utaisaga na kupata juisi.
Faida yake
Juisi hii ina uwezo wa kusafisha figo pamoja na njia ya mkojo yaani Urethra. Inazuia unene (Obesity) kwa kuwa na kiwango kidogo cha calories.ni rahisi sana kutengeneza,Enjoy your weekend ...

No comments:

Post a Comment