Wednesday, July 17, 2013

Oprah Winfrey Lands in Serengeti for Private Tours


ONE of the world's recognized Television talk show celebrity Oprah Winfrey is touring Serengeti National Park for what is described as private excursion.



Oprah atakuwa Tanzania kwa ziara yake Binafsi ,
 Nadhani baada ya kuwa busy na kazi ngumu anazozifanya kila siku kaamua  kupumzisha  akili ,
 Huu ni wakati muafaka kwa Mwanamama Oprah kuweza kuutangaza utalii wa Tanzani Barani Ulaya ,Pia ukizingatia Tanzania tumejaariwa utalii na vivutio vya kila namna
 Oprah amekuwa mwanamama maarufu kwa Kipindi Kirefu na ameweza kuwa  The Most Powerful Celebrities katika List 2013 na kufanikiwa kushika nafasi ya kwanza 
Oprah’s deserving. These are all hard-working, savvy, intelligent women.
Karibu Tanzania Oprah !





No comments:

Post a Comment