Monday, July 15, 2013

Naomi Watts morphs into Princess Diana as first film poster is released

Naomi Watts is seen in her full transition as Princess Diana in the first movie poster released of the upcoming biopic, Diana





Haya wapenzi wa Movie .. ni baada ya Hollwood kuamua kutoa movie ya maisha ya marehemu Princes Diana
Nadhani hakuna atakayependa kuikosa ..hasa pale Princess Diana anayeonakana kuwa na mvuto mkubwa na kupendwa na watu wote hata baada ya kifo chake
Hii si ya kuikosa kabisa pale itakapoingia Sokoni


2 comments: