Wednesday, January 1, 2014

Asante mwenyezi mungu kutuwezesha kufika 2014

NI FURAHA KUBWA MWENYEZI MUNGU KUTUWEZESHA KUFIKA MWAKA 2014 ,BARAKA TELE ZIWE JUU YETU

YALE YALIYOSHINDAKANA 2013 NA YAKAPATE KIBALI CHA KUFANYIKA MWAKA 2014 ,TUTAKUWA PAMOJA MARAFIKI TUKIENDELEA KUPEANA MAWAZO NA HABARI MPYA MPYA

No comments:

Post a Comment